Newsroom

The Latest News! 

Ripoti ya maendeleo ya biashara Afrika yazinduliwa.

Maendeleo halisi ya kiuchumi nchini hayatapatikana hadi hapo rushwa kubwa itakapopigwa vita na kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ametoa angalizo hilo jijini Dar es….

Read More

Uondoaji kero za biashara nchini utahamasisha uwekezaji

Utekelezaji kwa vitendo wa makubaliano yanayofikiwa wakati wa majadiliano baina ya sekta binafsi na serikali ndiyo yatakayoboresha mazingira ya uwekezaji nchini . Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi Tanzania….

Read More