Newsroom

The Latest News! 

HOTUBA YA DKT. REGINALD MENGI, MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA KATIKA MKUTANO NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NA SEKTA BINAFSI – TAREHE 3 DESEMBA 2015, IKULU, DAR ES SALAA

Mheshimiwa, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi; Wajumbe wa  Baraza la Taifa la Biashara; Wadau wote wa….

Read More

Mengi azindua shindano la 3N – ‘Nitabuni wazo la biashara, Nitatekeleza, na Nitafanikiwa’

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI   Dar es salaam:                                                                   8 Januari, 2014.   Katika kuendeleza jitihada zake za miaka mingi za kuwashawishi na kuwahamasisha  Watanzania kujiamini kuwa kwa kutumia nguvu….

Read More

Ripoti ya maendeleo ya biashara Afrika yazinduliwa.

Maendeleo halisi ya kiuchumi nchini hayatapatikana hadi hapo rushwa kubwa itakapopigwa vita na kutafutiwa ufumbuzi wa kudumu. Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dr Reginald Mengi ametoa angalizo hilo jijini Dar es….

Read More

Uondoaji kero za biashara nchini utahamasisha uwekezaji

Utekelezaji kwa vitendo wa makubaliano yanayofikiwa wakati wa majadiliano baina ya sekta binafsi na serikali ndiyo yatakayoboresha mazingira ya uwekezaji nchini . Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi Tanzania….

Read More